Friday, 25 March 2011

SPIKA MAKINDA ATEMBELEA SIERRELEONE

Spika Makinda akizungumza na Watanzania waishio Freetown, SierraLeone walipomkaribisha chakula cha jioni. Kulia kwake ni Emmy Musokwa Bingwa wa Uangalizi na Ufuatiliaji wa PAGE , mwingine ni Omary Mjenga Mwakilishi Mkazi wa shirika la Umoja wa Mataifa la UNOPS

Spika kwenye picha ya pamoja na baadhi ya watanznia waishio Sierra Leone

No comments:

Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

HABARI NYINGINE ZAIDI