Monday, 4 February 2013

BREAKING NEWS: MOTO WATEKETEZA MADUKA KATIKA KITUO CHA MABASI MWENGE



 Jitihada za kuuzima moto katika majengo ya biashara pembezoni mwa kituo cha mabasi Mwenge zikiendelea.Taarifa zilizotufikia ni kwamba hali ya usalama wa watu na mali zao bado ni tete eneo hilo la tukio.

JENGO LA PPF TOWER LILIPOKUWA LIKIWAKA MOTO JANA





GEITA DOCUMENTARY

Contributors