Saturday, 21 February 2015

PICHA: VICTORIA FOUNDATION YAACHA HISTORIA MPYA KWA WALEMAVU GEITA, KILIO CHA MAUAJI YA ALBINO CHAIBUKA.

Steven Mruma [Geita  
        Leo ilikua ni siku ya pekee sana kwa walemavu wa mkoa wa Geita baada ya kupata fursa ga kukutana na M/kiti wa Victoria Foundation na mbunge wa viti maalum mkoa wa Geita Mh. Vicky Kamata na wakabahatika kunufaika na ufadhili kutoka Victoria Foundation. 
        katika kuonyesha jinsi Victoria Foundation inavyothamini walemavu ilichangia vyerehani na pesa tasilimu ili kunyanyua na kupunguza changamoto wanazokumbana nazo walemavu. 
        Lakini katika hali isiyotazamiwa kilio cha mauaji ya albino kilitoa machozi wengi baada ya mlemavu mmoja wa ngozi bwana michael Kamuli aliposhindwa kujizuia na kujikuta akilia na kuonyesha ni kiasi gani anaumizwa na mauaji wanayofanyowa walemavu wa Ngozi (Albino). 

                                 YAFUATAYO NI BAADHI YA PICHA ZA MATUKIO HAYO.



















GEITA DOCUMENTARY

Contributors