Saturday 18 August 2012

'BAADAE' YA OMMY DIMPOZ KATIKA MAANDALIZI

VICTORIA FOUNDATION YAFADHILI MATIBABU YA MTOTO ERNEST TIMOTHY


 MTOTO Ernest Timothy akiwa anafarijiwa katika Hospital ya Rufaa ya Bugando juzi kabla hajakatwa mguu kushoto ni Mwenyekiti wa Victoria Foundation Vicky Kamata akimfariji Mtoto huyo kabla ambaye juzi mguu wake ulikatwa baada ya kuishi nao ukiwa umeoza zaidi ya miaka 15.


MUUGUZI katika Hospitali ya Rufaa Bugando;Fatma Ally akitoa huduma kwa mtoto Ernest Timothy juzi muda mfupi baada ya kukatwa mguu wake uliokuwa umeoza kwa zaidi ya miaka 15,kulia ni Mwenyekiti wa Mfuko wa Victoria Foundation,Vicky Kamata uliodhamini matibabu hayo.


PICHA ZOTE NA SHIJA FELICIAN - MWANZA 

GLORY ALIPOMTEMBELEA MAMA YAKE BUNGENI DODOMA




 Waziri mkuu Mizengo Pinda akimsisitiza Glory kusoma shule kwa bidii kwani ni elimu pekee ndio mkombozi wa mtoto wa kike. Uwanja wa ndege Dodoma.

Monday 13 August 2012

Wasanii walia na kigogo anayehujumu kazi zao


WASANII wa Tanzania, wamemlilia mkazi mmoja wa jijini Dar es Salaam kutokana na kubobea katika kuhujumu kazi zao, hivyo kuamua kuungana pamoja kupambana na wezi na maharamia wa kazi zao.
Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifamba, alisema, wamembaini mtu anayeitwa ‘Msukuma’ ambaye amekuwa akijitajirisha kutokana na wizi wa kazi za wasanii.
“Huyu Msukuma ndiyo umaarufu wake, ana mbinu nyingi za kimataifa za kufanya, kwani hana hofu na dhuluma anayoifanya ya  ubadhirifu wa kazi za wasanii,” alisema na kuongeza:

GEITA DOCUMENTARY

Contributors