Thursday 24 March 2011

MAKAMU WA RAIS ZIARANI MKOANI MWANZA

Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dr.Mohammed Gharib Bilal katikati akiwapungia mkono wananchi wa kijiji cha Busisi alipokuwa akitembea kutoka kwenye kivuko cha MV. Misungwi, wakati wa ziara ya kukangua na kuzindua miradi ya maendeleo ya wananchi wa Wilaya ya Geita.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kalangalala Wilayani Geita baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa maabara ya Shule hiyo leo, ambapo ameahidi kuchangia shiliongi milioni tano kwa ajili ya kuanzisha kitengo cha mtandao wa intanet katika Shule hapo. Makamu wa Rais yopo Mkoani Mwanza kwa ziara ya kukaguwa na kuzinduwa miradi ya maendeleo.   Amour Nassor VPO.

No comments:

GEITA DOCUMENTARY

Contributors