Saturday, 12 July 2014
HII NDIO VIDEO YA WIMBO WA MH. VICKY KAMATA MOYO WA MTU KICHAKA.
Baada ya muda mfupi utapata kuiona video mpya ya wimbo wa Mh Vicky Kamata mara baada ya kuingia you tube na muda si mrefu itaingia katika blog hii.. Endelea kufatilia VICKY KAMATA BLOG.
Bonyeza Hapa kuangalia video hiyo you tube [click here]
Wednesday, 9 July 2014
BAADA YA KUTAMBULISHA KILICHOTOKEA KATIKA SIKU YA KUZALIWA YA MTOTO WA MH. VICKY KAMATA MZIGO MZIMA HUU HAPA. ANGALIA PICHA ZA MATUKIO MUHIMU YALIYOTOKEA KATIKA HAFLA HIYO FUPI YA KUMPONGEZA GLORY.
MAANDALIZI YA KUPANGA VITI NA MEZA PAMOJA NA MAMBO MUHIMU YALIENDELEA JAPOKUWA HALI YA HEWA ILIONEKANA KUTOKUA SHWARI SANA |
VITI VYA WATOTO NA VIFAA MBALIMBALI VILIENDELEA KUFUNGWA NA WATAALAM WAKISASA |
MAANDALIZI YALIZIDI KUPAMBA MOTO KILA MUDA ULIPOSONGA |
MAANDALIZI YAKIENDELEA KWA USTADI MKUBWA |
MAANDALIZI YAKIENDELEA |
MTARIBU WA SHUGHULI NZIMA AKIWA KATIKA PILIKAPILIKA ZA KUWEKA MAMBO SAWA HASA YA MALIPO NK |
WATOTO WAKIENDELEA KUFANYA YAO |
WATOTO WALIENDELEA KUJIPANGA HUKU WAKIPEWA MAELEKEZO NA MH VICKY |
DJ AKIWEKA MAMBO SAWA |
FUNDI JAMES ALIHUSIKA KATIKA UTAALAM WA MAMBO YA UMEME NA TAA ZA KISASA |
WATOTO KWA WAKATI WOTE HUO WALIKUA WAKIFANYA YAO |
JIONI ILIPO INGIA SHUGHULI ILIANZA RASMI |
SHEREHE ILIANZA KWA DUA NA WIMBO WA BIRTHDAY ULIIMBWA MISHUMAA IKAZIMWA NK.. |
MISHUMAA IKIZIMWA NA MTOTO GLORY |
MAMA GLORY AKIMSAIDIA GLORY KUKATA KEKI |
GLORY AKIKATA KEKI |
WATU WALIANZA KUJICHANA KWA KEKI.. |
GLORY ALIENDELEA KUWALISHA KEKI WAGENI WAALIKWA NA KILA MTU ALIPATA KEKI NA SI RAHISI KUWEKA PICHA ZOTE KWANI WAGENI WALIKUWA NI WENGI SANA NA KUONA PICHA NYINGINE ANGALIA HABARI ILIYOPITA |
PACHA WA MH. VICKY KAMATA DADA YETU ANJELA MSANGI ALIKUA MC WA SHUGHULI HIYO NA ALITISHA SANA |
WATOTO PAMOJA NA MTOTO GLORY WALIANGUSHA SHOO YA KUFA MTU NI NOUMAA SANA |
WATU WAZIMA WALIUNGANA NA WATOTO KUCHEZA MUZIKI |
BAADA YA SHOO YA WATOTO PALIPIGWA SHOO ZINGINE MBILI KALI SANA JE UNAJUA NI SHOW YANANI NA NANI? VIJANA WA MBONA UNACHELEWA CHELEWA NA MH. VICKY WALISABABISH VYA KUTOSHA. |
VIJANA WA MBONA UNACHELEWA CHELEWA WAKIPIGA SHOO KALI SANA |
HII ILIKUA NI KWA MARA YA KWANZA MH. VICKY KAMATA KUFANYA SHOO YA WIMBO WAKE MPYA WA MOYO WA MTU KICHAKA |
SHOO KALI IKIENDELEA NA MWISHON MH ALIONGEA NENO MOJA TU, HUA HAFANYI SHOO HOVYO NA IKITOKEA AKAFANYA SHOO BASI NI SEHEMU ADIMU TU NA KATIKA MATUKIO ADIMU TU. |
SHOO KALI YA MH. VICKY KAMATA IKIENDELEA |
HUYU NI MTOTO ANAYELELEWA NA VICTORIA FOUNDATION JAPO KUWA NI MLEMAVU LAKINI NI MPIGA PICHA MAKINI SANA NA ALIKUFANYA MAMBO MAKUBWA SANA |
WENGINE KILICHOTULETA HAPA ILIKUA MPUNGA NA WASAA WA MPUNGA UKAWADIA HAKIKA WATU WALIKULA NA KUNYWA |
WAGENI WAKISUBIRIA MPUNGA KWA HAMU SANA HUKU MEZA ZIKIWA ZIMETAPAKAA VINYWAJI VYA KILA AINA |
Monday, 7 July 2014
PICHA: NI NOMA SANA HAYA NDIYO YALIYOTOKEA JANA KATIKA BIRTHDAY PARTY YA MTOTO WA MH. VICKY KAMATA
Na Steven Mruma
Jana ilikua ni siku ya kuzaliwa ya mtoto wa Mh. Vicky Kamata na kama kawaida lilianguka booonge la party nyumbani kwa Mh. Vicky Sinza Vatcan.
Kuacha tukio zima la Birthday party kuna mambo mengi sana yalitokea mengi yalikua ya kufurahisha sana na wakati mwingine hata kushangaza pia, laikin kwa ujumla wake ilikua ni siku tofauti sana kuwahi kutokea nyumbani kw Mh. Vicky Kamata.
Jana ilikua ni siku ya kuzaliwa ya mtoto wa Mh. Vicky Kamata na kama kawaida lilianguka booonge la party nyumbani kwa Mh. Vicky Sinza Vatcan.
Kuacha tukio zima la Birthday party kuna mambo mengi sana yalitokea mengi yalikua ya kufurahisha sana na wakati mwingine hata kushangaza pia, laikin kwa ujumla wake ilikua ni siku tofauti sana kuwahi kutokea nyumbani kw Mh. Vicky Kamata.
MATUKIO YA PEKEE SANA AMBAYO YATAKUJIA MOJA BAADA YA JINGINE ILI UWEZE KUJUA NI NINI HASA KILITOKEA NI KAMA IFUATAVYO:-
- Disco la nguvu ambalo watu walicheza vya kutosha ikiwemo Mh. Vicky Kamata ambaye alionyesha uwezo mkubwa sana katika kucheza muziki hasa wa kizazi kipya na katika tukio hilo nitakuletea video pamoja na picha zikiwa tayari
- Tukio jingine lilikua la maandalizi kufanyika kwa ustadi mkubwa na kwa haraka hali iliyopelekea mpaka Mh. Vicky kusahau kuvaa viatu mara kwa mara na kujikuta kupiga picha na wageni akiwa hana viatu.
- Marafiki wengi sana walijitokeza na wengi walipiga nae picha ya pamoja kama kumbukumbu.. si mara zote unaweza kupata nafasi ya kupiga picha na Mh. Vicky kamata
- kulikua na mashindano ya kucheza ambayo yalishirikisha zaidi watoto na hakika watoto walionyesha uwezo mkubwa sana japo umri wao ulikua mdogo sana.
- Kwa mara ya kwanza Mh. Vicky kamata ali perform wimbo wake mpya wa Moyo wa mtu kichaka na baada ya shoo hiyo alitamka maneno mazito ambayo ningependa uyafaham..
- Muonekano mpya wa nyumba ya Mh. Vicky Kamata na mambo mengi ya kifamilia na jinsi anavyoishi na familia yake,
HIZI NI BAADHI YA PICHA CHACHE ZA BIRTHDAY PARTY HIYO NA MATUKIO MENGI YATAKUJIA MUDA SI MREFU
MOJA KATI YA KEKI ZA BIRTHDAY YA MTOTO WA MH. VICKY |
WATOTO WAKIJICHANA KABLA YA HAFLA YA BIRTHDAY KUANZA |
WATOTO WAKIFANYA YAO |
STEVEN MRUMA [KATIKATI] PAMOJA NA WANAKATI YA CHAKULA NA VINYWAJI WINNIE KUSHOTO NA PETER KULIA |
BAADHI YA PICHA NA WAGENI WAKATI WA MAANDALIZI NA HII NI MOJA KATI YA PICHA NYINGI MH. VICKY KAMATA |
MH. VICKY AKIWAGAWAIA WATOTO WALIOJUMUIKA KATIKA BIRTHDAY PARTY YA MWANAE |
HAPA NI MWAZNO TU WA SHEREHE HIYO NA MATUKIO MENGI YA KEKI MUZIKI NK ENDELEA KUFATILIA BLOG HII. |
PICHA YA PAMOJA NA WADOGO ZAKE [ KULIA NI MUANDISHI WA HABARI ZA BLOG HII Steven Mruma 'Trust'] |
Subscribe to:
Posts (Atom)