Saturday, 7 May 2011

DIASPORA 3 YAFANA LONDON

Wajumbe wakiimba wimbo wa Taifa wa Tanzania

Mbunge wa viti maalum Mhe.Vicky Kamata akichangia jambo katika mkutano huo

Mhe.. Bernard Membe(katikati) katika picha ya pamoja na washiriki kutoka kulia kwake ni Mhe.Sanya kutoka Zanzibar, mbunge viti maalum CCM Mhe.Vicky Kamata naa Naibu Balozi Bw. Kilumanga na kushoto kwake ni Balozi Karage, Katibu Mkuu Bw. Yambesi.



Mhe. Vicky Kamata na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Bw. Karage
Mbunge wa viti maalum Mhe. Vicky Kamata alipokuwa mwenyekiti anayeongoza mmoja wa mjadala kwenye Diaspora 3

Mhe. Vicky Kamata akichangia jambo kwenye Diaspora 3

Mhe. Kamata akiongoza mjadala katika Diaspora 3
Mhe.Vicky Kamata akifatilia kwa makini  mkutano wa Diaspora 3

Mhe. Vicky Kamata akipeana mkono na Mhe. Bernard Membe
 (Picha zote kwa hisani ya Urban Pulse Creative Media)


Mkutano wa Diaspora 3 unafanyika kwa mara ya tatu nchini uiingereza ambapo mwaka huu wajumbe takriban 55  kutoka sekta ya umma na sekta binafsi wanaudhuria mkutano huo wakiwamo wabunge wawili na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,George  Yambe
Enhanced by Zemanta

GEITA DOCUMENTARY

Contributors