Picha na Mkamba Mbonea [China]
Imeandikwa na Steven Mruma
Mwishoni mwa mwezi november kulifanyika maonyesho ya vitu mbalimbali vinavyo wakilisha mambo mbalimbali ya kitamaduni na kijamii yanayoitambulisha nchi husika, vijana waki Tanzania nao walisiriki kwa kuonyesha vitu mbalimbali vinavyoitambulisha Tanzania katka medani za kimataifa kama picha alizonitumia mmoja wa washiriki katika maonyesho hayo Ndugu Mkamba Mmbonea.
|
Hapa rais wa chuo cha East China Normal University akimkabidhi kitabu maalum Rais J. M. Kikwete |
|
Viana hao wakiwa na rais wa chuo cha East China Normal University |