Wachimbaji wadogo wa madini Geita wametengewa maeneo yao ka ajili ya kuchimba madini ili nao waweze kupata pesa za mahitaji muhimu ya kijamii,, eneo la uchimbaji wa madini waliliopatiwa limetoa furasa ya vijana wengi kujiajiri katika machimbo hayo.
Mh. Vicky alipowatembelea wachimbaji wadogo wa madini Geita |
Mh. Akiangalia jinsi hatua za kupata madini zinavyofanyika |
Picha ya pamoja na vijana waliojiajiri katika maeneo ya kuchimba madini waliyotengewa |
Mh. Vicky akitoa ushauri kwa vijana waliokuwepo eneo hilo la madini |
vifaa mbalimbali vinavyotumuka kuchambua madini |
vijana kazini kutafuta madini |