Victoria Foundation na timu yake inatoa salamu za rambirambi kwa Familia,Wananchi wa Ifakara na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kwa kifo cha Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Taifa, Mheshimiwa Regia Mtema ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum na Waziri Kivuli wa Kazi na Ajira kilichotokea tarehe 14 Januari 2012 kwa ajali ya gari katika eneo la Ruvu darajani.
"Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi,Amen"