Na Steven Mruma
Jana ilikua ni sherehe ya kumpongeza mke wa waziri mkuu wa Tanzania kwa kuhitimu master yake chuo cha Tola open university.. Vicky Kamata na Victoria foundation inampongeza sana kwa kuhitimu master yake na kuwa miongoni mwa wake wa mawaziri wakuu wasomi.
ZIFUATAZO NI BAADHI YA PICHA ZA SHEREHE HIYO ILIYOHUDHURIWA PIA NA BAADHI YA VIONGOZI MBALIMBALI.