Tuesday, 18 November 2014

PICHA: RAIS WA ZANZIBAR DR. ALLI M. SHEIN AFANYA ZIARA NA KUKUTANA NA VINGOZI NA MABALOZI WOTE WA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA WILAYA ZOTE ZA ZANZIBAR.

Na Steven Mruma (Zanzibar)

   Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dr. Alli Mohamedi Shein amefanya ziara katika wilaya zote za Zanzibar na kukutana na viongozi wa Chama na mabalozi wa CHAMA CHA MAPINDUZI. katika ziara hiyo pia Dr. Shein aliwabeza wale wote wanaosema kuwa hatagombea tena nafasi ya urais Zanzibar na kwamba anakihusudu sana na kukiheshimu CHAMA CHA MAPINDUZI hivyo ni lazima akitetee na kukisimamia kwa heshima kubwa na uadilifu.




WIMBO MAALUM




SALAMU KWA VIONGOI NA MABALOZI WA CHAMA






GEITA DOCUMENTARY

Contributors