Monday, 21 October 2013

Mkurugenzi wa shuguli za kitakwimu ofisi ya taifa ya takwimu, Bi. Aldegunda Komba alipokuwa anawasilisha taarifa ya sensa ya mgawanyo wa watu kwa umri na jinsi kwa wajumbe wa kamati ya uchumi, viwanda na biashara.


Waheshimiwa wabunge  wa kamati ya uchumi viwanda na biashara wakimsikiliza Bi  Aldegunda Komba alipokuwa anawasilisha taarifa ya sensa ya mgawanyo wa watu kwa umri na jinsi,

Waheshimiwa wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara wakisikiliza kwa makini taarifa ya sensa ya mgawanyo wa watu kwa umri na jinsi.
Waheshimiwa wakisikiliza taarifa kwa makini






GEITA DOCUMENTARY

Contributors