Saturday, 25 September 2010

CCM OYEE...

                                 WANASOUTHAMPTON
WAJUMBE WA CCM SHINA LA SOUTHAMPTON KUTOKEA KUSHOTO NI MORO BEST,VICKY KAMATA NA MAREHEMU JOHN GOMOKA
 MWENYEKITI WA CCM DR. JAKAYA KIKWETE AKIWA NA MJUMBE WA CCM SHINA LA SOUTHAMPTON UINGEREZA
 MWENYEKITI WA CCM DR. JAKAYA KIKWETE AKIWA NA MWENYEKITI WA CCM SHINA LA SOUTHAMPTON UINGEREZA
MWENYEKITI WA CCM DR. JAKAYA KIKWETE AKIWA NA KATIBU WA CCM SHINA LA SOUTHAMPTON UINGEREZA

Thursday, 23 September 2010

WANA SOUTHAMPTON

MWENYEKITI WA CCM SHINA LA SOUTHAMPTON MR KAPINGA(WA PILI KUTOKA KUSHOTO) AKIWA NA MARAFIKI MITAA YA KATI

KWA PAMOJA TUNAWEZA KUSONGA MBELE..

MWALUVISTANYO NI KIKUNDI KINACHOUNDWA NA MASTAA WA MUZIKI MWASITI,LUIZA MBUTU,VICKY KAMATA,STARA THOMAS(PICHA NDOGO CHINI) NA NYOTA WAZIRI..



MWALUVISTANYO PIA INAKIKUBALI CHAMA CHA MAPINDUZI
KUTOKA KUSHOTO NI NYOTA WAZIRI,VICKY KAMATA,MWASITI,LUIZA MBUTU
TUMEAMUA KUUNGANA NA KUFANYA KAZI KWA PAMOJA
Enhanced by Zemanta

Tuesday, 21 September 2010

GEITA DOCUMENTARY

Contributors