Friday, 25 May 2012

VICTORIA FOUNDATION YATOA MSAADA WA V YAKULA KITUO CHA KULEA YATIMA F.T.I-MASUMBWE


 Watoto wa F.T.I wakimpokea kwa furaha mheshimiwa Vicky Kamata
 Mheshimiwa Vicky Kamata akisalimiana na watoto waliompokea



Mheshimiwa Vicky Kamata akishiriki chakula cha mchana kwa pamoja na watoto wa F.T.I-Masumbwe  





Wednesday, 23 May 2012

VICTORIA FOUNDATION YATEMBELEA BALINA ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL-SHINYANGA


 Wanafunzi wakitukaribisha kwa furaha
 Mh. Vicky Kamata akiongea na wanafunzi wa shule hiyo,na kuwaasa kusoma kwa bidii sana na bila kusahau kusali ili kuweza kufikia malengo yao ya baadae

Wanafunzi wakiwa na nyuso za furaha kwa kupata ugeni wetu

Tuesday, 22 May 2012

VICKY KAMATA AENDA KWA BABA YAKE

 Huyu ndiye Askofu Aloysius Balina wa jimbo la Shinyanga ambaye ni baba mlezi wa Vicky Kamata, na ndiye aliyemfanya Mh. Vicky kuwepo hapa alipo leo katika mafanikio yake,kwa kumsomesha na kumlea

 WASIFU WA ASKOFU ALOYSIUS BALINA

CATHOLIC DIOCESE OF SHINYANGA
EPISCOPAL SILVER JUBILEE OF HIS LORDSHIP BISHOP ALOYSIUS BALINA, DD.

HIS HISTORY

Rt. Rev. Aloysius Balina, was born at Isoso, Ntuzu, Bariadi District on June 21st 1945.  ordained priest on 27th June, 1971.  consecrated Bishop on 6th January 1985, by Pope John Paul II in Rome.  Installed as the first Bishop of Geita on 10th March, 1985.  transferred on 23rd September 1997.  installed as the Third Bishop of Shinyanga on 16th November, 1997.

WORKING EXPERIENCE

·        Diocesan priest –  Buhangija, Shinyanga town, Salawe, Bugisi, Chamgasa and Malili 1971-1975
·        Rector St. Pius Seminary Makoko 1975 – 1983
·        Parish Priest, Shinyanga town 1983-1984
·        Bishop of Geita 1984 – 1997
·        Administrator of Geita 1997 – 2000
·        Bishop of Shinyanga 1997 to date
·        Founder and the first Chairman(CSSC)
·        Chairman of TEC Health Department 1985 to date
·        Chairman of Bugando Medical Centre 1985 to date
·        Chairman of Bugando College of Health Science 2000 to date
·        Commissioner for TACAIDS 2002 – 2004
·        Chairman of Consultancy and Development Limited(CDCO) a firm under CSSC 2005 to date

OTHER SHORT COURSES

·        Global HIV/AIDS Programme for Faith based organization and National HIV/AIDS Counselling Organised by World Bank – USA
·        Balm in the Gilead science for HIV/AIDS five weeks training on the science of HIV/AIDS – USA
·        International HIV/AIDS Conference – BangkokThailand
·        Network marketing business training – Kualar Lumpur, Malaysia




  

Monday, 21 May 2012

KWELI MIZENGO PINDA NI MTOTO WA MKULIMA....HAPA NI SHAMBANI KWAKE ZUZU-DODOMA

 Team ya Victoria Foundation ilipotembelea shambani kwa waziri mkuu Mh.Mizengo Pinda maeneo ya Zuzu-Dodoma na kujionea shughuli mbalimbali za kilimo na ufugaji

 Mbegu fupi ya mtama iitwayo Masia
 Mh. Waziri mkuu akitoa ufafanuzi namna nyuki wanavyosaidia uchavushaji,na pia wanavyoweza kuongeza uzalishaji wa asali kwa kujengewa karibu na mimea inayowavutia,kama vile Alizeti

 Shamba la Mbaazi
 Ilikuwa inataka ujasiri kupiga picha karibu kabisa na mizinga ya nyuki

 Mizinga ya kisasa ya kufugia nyuki
Mh Waziri mkuu akionyesha jinsi muundo wa mzinga wa kisasa wa kufugia nyuki ulivyo kwa ndani
Baada ya mizunguko ya shambani hapa tulikuwa tukibadilishana mawazo na waziri mkuu huku tukipata vinywaji
Asali asilia (Natural Honey) iliyozalishwa shambani hapo

GEITA DOCUMENTARY

Contributors