Na Steven Mruma
Pata fursa ya kuwfahamu ndugu wa Mh. Vicky kamata kwa picha.. lakini pia fahamu ni chakula gani wanapendelea kula. `Unaweza kushangaa kuona bado wana afya njema kabisa na huonekana wachangamfu kabisa, hii inatokana kula vyakula vingi vya asili, kama ugali wa mtama, ugali wa muhogo, mboga za majani kwa wingi na samaki.
Huyu ni Mama mzazi wa Mh. Vicky Kamata na hapo alipo ni Sengerema |
Huyu ni Bibi yake M.h. Vicky |
Huyu pia ni Bibi Yake Vicky |
Hapa ni Sengerema tulipomtembelea mama yake Mh. Vicky na huyo ni Vicky mwenyewe akiongea na wazazi wake |
Mh. Vicky akisikiliza jambo kwa makini kutoka kwa mjomba wake Makonge hayupo pichani |
Hapa ni Kibamba na huyu ni Bibi yake mzaa Baba huyu ndio Mama Kamata mwenyewe |
Hapa ni Mr.& Mrs nanilii.. Bibi yake mzaa baba akiwa na mume wake wasasa [ Steven Mruma] |
Hii ndionyumba wanayoishi baadhi ya ndugu zake waliopo Sengerema hasa Bibi zake na wajomba pamoja na wadogo zake Mh. Vicky |
Hiki ndicho Chakula wanachopendelea sana kula mara kwa marabila shaka unavijua vyakula hivyo vinaitwaje... |