Posted By Steven Mruma.
Na hizi ni Baddhi ya Picha za matukio mbalimbali wakati wa mahafali na baada ya mahafali.
kushoto ni kuu wa shule ya Feza Boys katikati ni Mh. Vicky na kulia ni mkurugenzi wa ISHK ambayo ndio wamiliki wa shule ya Feza Boys |
Mh Vicky akihutubia na kuwaasa vijana waliomaliza kidato cha nne |
Hapa akishuka jukwani mara baada ya kuhutubia |
Akihojiwa na vyombo mbalimbali vya habari |
Familia ya Mh. Vicky Kamata pamoja na viongozi mbalimbali na walimu wa shule ya Feza Boys.. |
wahitimu baada ya kukabidhiwa vyeti wa akiwemo mtoto wa Mh. Vicky Kamata( Revocatus) ambaye pia alihitimu kidato cha nne mwaka huu shuleni hapo |
Revocatus na rafki yake katka pozi |
Mara baada ya Sherehe ya mahafali kuisha, mambo yalihamia hapa na bata zikaendelea hasa kwa kumpongeza Revocatus kwa kuhitimu kidato cha nne Feza Boys. |
"' Mapenzi ya mamaa elimu ya mamaa haina ada wala cheti ila ni elimu zaidi ya chuo kikuu," Mama akimkabidhi mwanaye Zawadi |
Glory wa kwanza kushoto ambaye pia ni mtoto wa Mh. Vicky akiwa na Mama yake wa pili kushoto akifatia Winnie na Kaka Emma kulia |
Mh. Vicky katikati akiwa na wadogo zake Deo kushoto na Emma kulia |
Mh. Vicky katika Pozi na kaka Emma |
Mh, Vicky akiwa na watoto wake Glory na Revocatus |