Thursday, 6 May 2010

SITAISAHAU MV BUKOBA

SITASAHAU MV BUKOBA nikitabu kinachoelezea hali halisi ilivyokuwa ndani ya meli ya MV kabla na baada ya ajali. Nyaisa Simango ni miongoni mwa abiria wachache walionusurika katika ajali hiyo, anajaribu kuelezea hali halisi ilivyokuwa tangu mwanzo wa safari yake hadi meli hiyo ilipopinduka na kuzama. SASA KIPO MADUKANI

GEITA DOCUMENTARY

Contributors