Thursday, 3 January 2013

PICHA ZA MATUKIO YA MSIBA NYUMBANI ALIPOKUWA AKIISHI SAJUKI


Hii ndio nyumba aliyokua akiishi mwigizaji Sajuki Tabata Dar es salaam.
.
.
Huyo wa katikati ndio mama mzazi wa Sajuki.
.
Millard Ayo na Mwigizaji Dinno mmoja kati ya marafiki wa karibu sana wa Sajuki.
Huyu ni baba mzazi wa Sajuki ambapo alitoka Songea kuja kumuuguza mwanae.
.
.
.
.
.
Baadhi ya waigizaji wa bongo movie.

R.I.P JUMA KILOWOKO 'SAJUKI'


GEITA DOCUMENTARY

Contributors