| NIKIWASILI UWANJA WA NDEGE WA JOHANESBURG SOUTH AFRICA |
| NIKIWA NA KATIBU MKUU WA UMOJA WA VIJANA TAIFA JIJINI JOHANESBURG |
| SANAMU YA WAZIRI MKUU WA KWANZA WA SOUTH AFRICA |
| HAPA NI IKULU YA SOUTH AFRICA NA PIA UKUMBI WA BUNGE UPO HAPAHAPA MJINI PRETORIA |
| NILIVUTIWA SANA NA MAUA HAYA |
| "ELIMU HAINA MWISHO"......PIA NILIPATA NAFASI YA KUKITEMBELEA CHUO KIKUU CHA SOUTH AFRICA KILICHOPO PRETORIA |