Saturday 26 April 2014

SAFARI YA GUANGZHOU CHINA MPAKA NDANI YA TARVERN SPORTS BAR,, NA ILIKUA NI SHANGWE ZA BIRTHDAY YA KAKA YETU JIMMY..

Ndaani ya pipa kwa safari ya Guangzhou

Mh. Vicky na Brother Jimmy katka serehe fupi ya siku ya kuzaliwa kwa kaka Jimmy
Mh. Vicky akilishwa keki na kakaJimmy hayupo pichani.

Baada ya keki bata zingine zilichukua nafasi yake..na kwa Nyuma ilikua ni Mechi ya Europa League ilikuaikiendelea

China ni nchi yenye watu wenye upendo sana huwezi kudhani kama upo ugenini,, big up
    Na.. Steven Mruma....


Sunday 20 April 2014

Sherehe za Kufunga Maonesho ya Kuazimisha Miaka 50 ya Muungano Wetu Tanzania Viwanja Vya Mnazi Mmoja-Dar es Salaam

Na StevenMruma..

     Sherehe za Kufunga Maonesho ya Kuazimisha Miaka 50 ya Muungano Wetu Tanzania Viwanja Vya Mnazi Mmoja-Dar es Salaam.Tuuenzi,Tuudumishe na Tuulinde Muungano Wetu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda akisisitiza jambo mbele ya Mh. Mwigulu Nchemba

Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda akisikiza ufafanuzi wa jambo pamoja na viongozi mbalimbali waliokuwekuwepo katka kufunga maonyesho ya miaka 50 ya Muungano viwanja vya mnazi mmoja
Waziri Mkuu akieleza jambo


picha kwa hisani ya Mwigulu Nchemba [facebook]

GEITA DOCUMENTARY

Contributors