Saturday, 30 November 2013

WABUNGE WA KAMATI YA UCHUMI VIWANDA NA BISHARA WAKIWA NA WAJUMBE WA KAMPUNI YA SGS DUBAI.

  Wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara wakiendelea na ziara yao Dubai walikutana na wajumbe wa Kampuni ya SGS ambayo inajishughulisha na ukaguzi wa ubora wa bidhaa  kabla hazijafika nchini Tanzania.
   Na hapa walikua katika picha ya pamoja (wajumbe na staff  wa SGS Company) pamoja na waheshimiwa wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara.




Thursday, 28 November 2013

PICHA ZA MH. VICKY KAMATA AKIWA KATIKA ZIARA YA KIKAZI DUBAI PAMOJA NA WANAKAMATI WENZAKE WA KAMATI YA UCHUMI VIWANDA NA BIASHARA.

          Habari na Steven Mruma.
      Kamati ya Uchumi Viwanda na Biashara wapo ziarani Dubai kujifunza mambo mbalimbali ya kiuchumi viwanda na biashara, moja kati ya wabunge waliopo katika kamati hiyo ni Mh. Mbunge wa Viti maalum Geita Mh. Vicky Kamata.

Hizi ni baadhi ya picha katika ziara hiyo.

Mh. Vicky akifuatilia kwa makini taarifa kutoka ubalozi Dubai

Balozi wa ubalozi  mdogo wa Tanzania  Dubai Bwana Omari Mjengwa [kushoto] na mkurugenzi mshauri wa uchumi na biashara Dubai Bwana Luhumbika [kulia] wakiwasilisha taarifa kutoka ubalozi wa Dubai.

Balozi  wa Tanzania Dubai Omar Mjengwa akiwasilisha taarifa kutoka ubalozi wa Dubai.
Picha ya pamoja katika ubalozi mdogo Dubai,
Waheshimiwa wabunge wanawake katika picha ya pamoja ubalozi mdogo Dubai
Mh. Vicky Kamata katika pozi ziarazi Dubai



Habari zaidi kuhusu ziara hiyo itapatikana katika blog hii muda si mrefu. endelea kuwa nasi......

Tuesday, 26 November 2013

TAZAMA PICHA ZA MAHAFALI YA MTOTO WA MH. VICKY KAMATA ALIPOHITIMU TOP CLASS.

Picha na Steven Mruma.

Glory akiwa na mama yake Mh. Vicky kamata mapema kabla ya mahafali kuanza
Glory akiwa na wanafunzi wenzake wakiandaliwa na walimu wao wa Tusime kwa ajili ya mahafali

Wanafunzi waliokuwa wahahitimu top class wakiimba wimbo

Wimbo unaendelea
Baada ya kupata zawadi Glory akiwa na rafiki yake wakiwa na nyuso za furaha,

Glory akiwa na zawadi zake
Glory akiwa katika pozi siku chache baada ya kujiunga na shule ya awali ya Tusime Nursery and primary English Medium.

GEITA DOCUMENTARY

Contributors