Tuesday, 13 January 2015

PICHA ZINGINE ZA SHEREHE YA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KATIKA HALFA ILIYOFANYIKA IKULU YA ZANZIBAR.

 Na Steven Mruma (Zanzibar)

ZIFUATAZO NI BAADHI YA PICHA ZA BAADHI YA MATUKIO KATIKA HAFLA ILIYOFANYIKA IKULU YA ZANZIBAR KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.


KUTOKA KUSHOTO NI NDUGU TOGOLANI AMBAYE NI MWANDISHI WA SPEECH  RAIS, DR. MFISI AMBAYE NI DAKTARI WA RAIS, MH VICKY KAMATA MBUNGE VITI MAALUM GEITA, NDUGU LUHWAVI AMABYE NI MSHAURI WA RAIS MASUALA YA SIASA NA KULIA NI MKURUGENZI WA MAWASILIANO YA IKULU NDUGU SALVA.



   HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA MH.VICKY ALIPOKUTANA NA MARAFIKI ZAKE KUTOKA BENKI KUU MAENEO YA FORODHANI ZANZIBAR.

MH.VICKY KAMATA AKIWA NA MAMATE WAKE KUTOKA BANKI KUU

DADA BEATRICE KUSHOTO NA DADA GEMA


KUSHOTO NI DADA VICKY MSINA AKIFATIWA NA MH. VICKY KAMATA NA DADA HALIMA BULEMBO.

MH.VICKY AKIWA NA MARAFIKI ZAKE KUTOKA BENKI KUUWALIPOKUTANA  ZANZIBAR KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Monday, 12 January 2015

PICHA ZA BAADHI YA MATUKIO KATIKA SHEREHE YA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.


Na Steven Mruma (Zanzibar)

       Leo ilikua ni kilele cha maadhimisho ya Miaka 51 ya mapinduzi ya Zanzibar. Na katika kuadhimisha sherehe hiyo mambo mbalimbali yalifanyika zikiwemo burudani za vikosi vya ulinzi na usalama, wasanii mbalimbali.
       Rais wa Zanzibar na M/kiti wa Baraza la mapinduzi Dr. Alli Mohamedi Shein alihutubia Taifa na Katika hotuba hiyo Rais Shein alizungumzia mambo mengi ikiwemo kufuta michango yote na ada mashuleni, huduma bure za afya mahospitalini kwa watoto na wazee nk.

ZIFUATAZO NI PICHA ZA BAADHI YA MATUKIO KATIKA SHEREHE YA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.


















GEITA DOCUMENTARY

Contributors