Friday, 6 December 2013
HIVI NDINYO UVCCM TAIFA WALIVYO ADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIA VIWANJA VYA BIAFRA KINONDONI
Tamasha kubwa lililoandaliwa na UVCCM Taifs lililofanyika katika viwanja vya biafra kinondoni Jijini Dar es salaam lilikua la aina yake baada ya kutoa hamasa kubwa kwa jamii hasa vijana ambao pia walijitokeza kwa wingi katika tamasha hilo ambalo mgeni rasmi alikuwa M/kiti wa UVCCM Taifa Mh. Sadifa ambaye alipima virusi vya UKIMWI na kutoa hamasa ya vijana wengi kujitokeza kupima ili kujua afya zao.
katika tamasha pia lilisindikizwa na wasanii maarufu wa bongo fleva waliotoa burudani nzuri ambyo ilikuwa ni kivutio kikubwa katika tamasha hilo.
katika tamasha pia lilisindikizwa na wasanii maarufu wa bongo fleva waliotoa burudani nzuri ambyo ilikuwa ni kivutio kikubwa katika tamasha hilo.
Bango lililotangaza tanasha hilo |
Meza kuu wakifuatilia burudani kwa umakini |
Wanachi wakifuatilia tamasha hilo kwa makini katika viwanja vya Biafra |
Wananchi wakifurahia moja kati ya burudani zilizokuwa zikitolewa na wasanii mbalimbali |
Mh. Sadifa akipima virusi vya UKIMWI huku akiwa mwenye furaha na amani |
Msanii Barnaba akitoa burudani |
Recho akitoa burudani |
Msanii Recho akitoa burudani. |
Subscribe to:
Posts (Atom)