Vijana ni kundi kubwa ambalo likiwa na mwamko mzuri linaweza kuibadili dunia na kuwa dunia tofauti na tunayoifahamu, vijana wa kundi la Youth Can ni kundi la vijana likiwa na imani kua linaweza kufanya mambo makubwa katika kutoa elimu juu ya kutunza mazingira na pia kutunza mazingira..
Vijana hao wanatoa elimu kwa njia mbalimbali za mitandao pamoja na kutembelea seheu mbalimbali kutoa elimu juu ya uhifadhi wa mazingira..
HAWA NDI WAANZILISHI WA YOUTH CAN [the founder of youth can Tanzania] |
vijana wakiimba nyimbo za kuhamasisha watu watunze mazingira. |
kikosi cha mazingira kikiwa kazini.. |