Friday, 8 March 2013

MWENYEKITI WA VICTORIA FOUNDATION MH VICKY KAMATA ALIPOKUTANA NA CPF THAILAND PUBLIC COMPANY LTD

 Kutoka kulia ni Chairperson wa Victoria Foundation Hon Vicky Kamata,Assistant Vice President wa CPF(Charoen Pokphand Foods) Mr Tony Lovely na Coordinator Consultant wa CPF Mr Chuwa  M. Eliapenda.
 Kutoka kulia ni Chairperson wa Victoria Foundation Hon Vicky Kamata,Assistant Vice President wa CPF(Charoen Pokphand Foods) Mr Tony Lovely na Coordinator Consultant wa CPF Mr Chuwa  M. Eliapenda wakijadili jambo walipokutana jijini Dar es Salaam.
                   Katika nyuso za furaha

Monday, 4 March 2013

SAYED CORPORATION YAKABIDHI MSAADA WA SH.MIL 10 NA BAISKELI KWA VICTORIA FOUNDATION

 Mgeni rasmi Waziri wa Afya Mh. Dkt. Hussein Mwinyi akiwasili katika hafla ya kukabidhi msaada huo,iliyofanyika mchana wa leo Synergy Grill Oysterbay.

 Timu ya Victoria Foundation ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mh. Vicky Kamata ikimkaribisha mgeni rasmi Mh. Hussein Mwinyi, Waziri wa afya

Mwenyekiti wa Victoria Foundation Mh. Vicky Kamata akitoa hotuba yake kushukuru kwa mchango uliotolewa na kampuni ya Sayed Corporation.
Mgeni rasmi Waziri wa afya Mh. |Hussein Mwinyi akizungumza kusifu na kushukuru jitihada zinazofanywa na Victoria Foundation ikishirikiana na Sayed Corporation Ltd katika kuinua maisha ya mtoto wa kitanzania.
Mr. Azhar M. Wars ambaye ni mwakilishi wa balozi wa Pakistan nchini akizungumza jambo na kutoa mchango wake katika hafla hiyo.
Mkurugenzi mtendaji wa Sayed Corporation Mr. Sayed Masood ur Rehman akihutubia katika hafla hiyo
 Mkurugenzi mtendaji wa Sayed Corporation Mr Sayed Masood ur Rehman(kulia) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shs Milioni kumi kwa Mwenyekiti wa Victoria Foundation  Mh Vicky Kamata.
Mgeni rasmi Waziri wa Afya Mh Hussein Mwinyi akipeana mkono wa pongezi na Mkurugenzi Mtendaji wa Sayed Corporation Mr Sayed Masood ur Rehman
Mwenyekiti wa Victoria Foundation Mh Vicky Kamata akipeana mkono wa pongezi na Mkurugenzi Mtendaji wa Sayed Corporation Mr Sayed Masood ur Rehman
 Mwenyekiti wa Victoria Foundation Mh Vicky Kamata akipokea msaada wa baiskeli toka kwa Sayed Corporation
                                               Wageni waliohudhuria katika hafla hiyo
                   Hata watoto nao walikuja kuunga mkono hafla hiyo

Mwenyekiti wa Victoria Foundatio Mh Vicky Kamata (wanne kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wafadhili
                                      Katika nyuso za furaha
                           Katika picha ya pamoja na watoto wa Victoria Foundation
                                                                Wageni waalikwa



            Mr Culma akitoa ahadi ya mchango wake kwa Victoria Foundation
 Mwenyekiti wa Victoria Foundation Mh Vicky Kamata akiimba kwa pamoja na watoto wake                wimbo uitwao 'Yatima'
Wafanyakazi wa Victoria Foundation wakiwa wameshikilia mfano wa hundi yenye thamani ya Tshs Mil 10 iliyotolewa na Sayed Corporation Ltd

GEITA DOCUMENTARY

Contributors