Friday, 30 April 2010
USIKU WA MUUNGANO ULIKUWA HIVI IKULU
Hawa ni Wabunge watarajiwa kupitia UVCCM katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu siku ya muungano,nimetambulishwa kwao na Katibu mkuu wa UVCCM Mh Martin Shigela,na kubahatika kupiga nao picha Makada hawa wa CCM.Blog hii na mimi mwenyewe tunawapongeza kwa kudhubutu na tunawatakiwa kila la kheri katika kututetea huko mjengoni.
Monday, 26 April 2010
NIC PIX......MWANAMKE KHANGA
African Supermodel Millen Magese(left) & Executive Director of the Spain-US Chamber of Commerce Bisila Bokoko(right). Bisila has never worn kanga before so you know this was absolutely a great experience for her. She loved it and Millen was such a good sporty also showing Bisila how to wear kanga the right way.
VICKY KAMATA ATUMBUIZA KATIKA HARAMBEE YA KUCHANGIA CCM
Mwenyekiti wa UWT Sophia Simba(kulia) akiwaongoza wanachama wengine wa CCM kumpongeza msanii Vicky Kamata alipotumbuiza wakati wa hafla ya kuzindua kampeni ya kukichangia Chama cha Mapinduzi kwa nia ya simu za mkononi iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam jana jioni.Kampeni hiyo ilizinduliwa rasmi na Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete
KIKWETE APPOINTS DOUG PITT'S TANZANIA GOODWILL AMBASSADOR FOR TOURISM
SERENGETI YAJA NA PROMOSHENI MPYA
Meneja matukio na promosheni wa kampuni ya bia ya Serengeti(SBL) Bahati Singh(kushoto), akiongea na waandishi wa habari leo Dar es Salaam kuhusu promosheni ya vuna pesa na mizawadi kede- kede inayotolewa na kampuni hiyo ya SBL ambayo itaanza kesho katika viwanja vya kinondoni Biafra na Mwembe yanga Temeke, kulia ni afisa muandamizi wa SBL Imani Lwinga.
BEAUTY TIPS.!!
Beauty Tips: Jinsi ya kuupa uso wako muonekano wa ngozi tight, laini na ya kuvutia. Siku ya leo beauty tips, tuna njia tatu nyepesi ambazo matokeo yake uonekana baada tu ya kutumia.Ok basi kama uko nyumbani ni vyema ukasogea jikoni kabisa ili kujiandaa kuupa uso wako ngozi changa na yenye afya kwa kipindi kifupi. Mask ya asali: Hii mask ni nzuri sana kwasababu inamoisturizering ngozi yako na ubana vishimo vya ngozi vilivyo wazi.Pia ni nzuri kwa ngozi aina zote. (za mafuta, kavu, na zilizo za wastani). Ingredients: Asali kiasi chochote cha kukutosheleza.
Jinsi ya kutumia: Paka asali kwenye sura yako hadi shingoni kama ukitaka kulinganisha uwastani wa ngozi, lakini kuwa mwangalifu isiingie machoni kwa hiyo ni vyema ukakwepa sehemu za macho.Iache kwa dakika 15 – 30,(relax), kisha osha kwa maji ya vugu vugu. Halafu malizia kuosha na maji ya baridi ili kuziba vishimo vya ngozi zilizokuwa moisturized na asali.Hii ni kwa mtu yeyote, iwe mwanamke au mwanaume wote waweza kutumia hii moisturized asilia kujipa muonekano wa'kichanga(kiupya).
Jinsi ya kutumia: Paka asali kwenye sura yako hadi shingoni kama ukitaka kulinganisha uwastani wa ngozi, lakini kuwa mwangalifu isiingie machoni kwa hiyo ni vyema ukakwepa sehemu za macho.Iache kwa dakika 15 – 30,(relax), kisha osha kwa maji ya vugu vugu. Halafu malizia kuosha na maji ya baridi ili kuziba vishimo vya ngozi zilizokuwa moisturized na asali.Hii ni kwa mtu yeyote, iwe mwanamke au mwanaume wote waweza kutumia hii moisturized asilia kujipa muonekano wa'kichanga(kiupya).
HONGERA GADNA NA JIDE KWA KUDUMISHA NDOA
DUAL NATIONALITY: DEMYSTIFICATION OF THE REFLECTIVE DISTASTE
WALTER CHIPETA IntroductionHype and mystery have characterised the issue of dual nationality and obscured its otherwise not-so-complex nature. As a doctrine dual nationality is not just a swelling global phenomenon but also a reality of the current world. As elsewhere in the internationalized world, dual nationality – the state of simultaneous possession of two citizenship (also “dual citizenship”), is not a new topic in Tanzania and within Tanzania communities.
ANKAL MICHUZI NA MABLOG WA KIKE WAANDAMIZI
Subscribe to:
Posts (Atom)