Wednesday, 10 September 2014

PICHA ZA FAMILIA YA MH. VICKY KAMATA WAKIWA PAMOJA NA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA UWANJA WA NGEDE DODOMA.

Na Steven Mruma.
   Familia ya Mh. Vicky Kamata walikutana na Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda Airpot Dodoma ambapo walipata fursa ya kupiga picha ya pamoja na kuongea nao mambo machache kama picha zinavyoonyesha hapo chini.

Revocatus {Kushoto} Waziri Mkuu Pinda
[katikati] na Glory [kulia] wakiwa Airport Dodoma. Reveocatus na Glory ni watoto wa Mh. Vicky Kamata.

Watoto wa Mh. Vicky Kamata walipokutana na Waziri mkuu Mizengo Pinda Dododma
Waziri mkuu Mizengo Pinda  ]mwenye suti] akiongea jambo na Mh. Vicky Kamata [wa kwanza kulia] walipokutana Airport Dodoma hivi karibuni

Waziri mkuu akizungumza maneno machache na Revocatus walipokutana Dodoma

Hapa Revocatus akisisitizwa jambo na waziri Mkuu Pinda 

NAIBU WAZIRI STEVEN MASELE AKIPASHA KATIKA GYM YA BUNGE: NI MUHIMU KUFANYA MAZOEZI KUIMARISHA AFYA.


Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika picha baada ya kutoka mazoezi katika Gym ya Bunge akiwemo Mh. Steven Masele. 

Mh. Steven Masele akifanya mazoezi katka Gym ya Bunge.

GEITA DOCUMENTARY

Contributors