Na Steven Mruma.
Tazama picha wakati wa kuuaga mwili wa Dr. Sengondo Mvungi viwanja vya karimjee jijini Dar es salam jana ambapo viongozi mbalimbali wa serikali, vyama vya siasa, mashirika ya umma na viongozi mbalimbali wa dini walihudhuria.Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Dr. mvungi likiwekwa mahali husika kwa ajili ya kuuaga mwili wake viwanja vya karimjee |
Mke wa Dr. Mvungi mwenye nguo nyeupe. |
Misa takatifu ya kuaga ikiendelea |
Makamu wa Rais G. Bilal akitoa salam za rambirambi |
Waziri mkuu M. Pinda akiwa na M/kiti wa NCCR-Mageuzi James Mbatia |
Baadhi ya viongozi waliohudhuria |
Makamu wa Rais Bilal akiuaga mwili wa marehemu Dr. Mvungi |
Waziri mkuu akiuaga mwili wa marehemu |
Makamu wa pili wa rais Zanzibar Sharif Hamad akiuaga mwili wa marehemu Dr. mvungi |
Rais mstaafu wa awamu ya tatu B. mkapa |
Jaji Agustino Ramadhani |
Jaji Warioba |
Waziri mkuu mstaafu salim A. Salim |
Mh. Shamsi V. Nahodha |
Jaems Mbatia na mkwe |
Steven Wasira |
Mh. Mwigulu Nchemba |
Prof. Lipumba |
Mh. F. Mbowe |
Viongozi wengine wakiendelea kutoa heshima zao za mwisho |