NA HIZI NI BAADHI YA PICHA KATIKA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA HARAKATI ZAKE ZA KUKIPIGANIA CHAMA HUKO MAREKANI.
LOVENSS MAMUYA WA KATIKATI WALIOKAA AKIWA NA BAADHI YA WANA CHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI HUKO NCHINI MAREKANI. |
DADA LOVENESS WA KWANZA KUSHOTO KATIKA MOJA YA VIKAO VYA WANA CCM HUKO MAREKANI |
DADA LOVENESS MAMUYA WA KWANZA KULIA AKIWA NA VIJANA WAPAMBANAJI WA CCM HUKO MAREKANI |
DADA LOVENESS MAMUYA KATIKA POZI |
HAPA ILIKUA NI USIKU WA JAKAYA NA WATANZANIA WALIOPO MAREKANI WALIKUA WAKIJIVUNIA UTANZANIA NA KUJIVUNIA RAIS WETU MPENDWA J.M.KIKWETE |