Mh Vicky Kamata akiwa kwenye kikao cha ndani na wanawake wa UWT GEITA |
Mh Vicky Kamata akisalimiana na watoto wa Moyo wa Huruma Orphanage Center |
Mh Vicky Kamata alitembelea kituo cha kulelea watoto yatima na kutoa mashine ya kisasa ya kufulia nguo |
Mh Vicky Kamata akiwa na watoto wa Moyo wa Huruma Orphanage Center na uongozi wa kituo hicho |
Mh Vicky Kamata akifafanua jambo kwenye kikao cha ndani na wanawake wa UWT GEITA |