Na
Steven Mruma
Ilikua ni sherehe ya aina yake iliyohudhuriwa na watu mbalimbli ndugu jamaa na marafiki pamoja na baadhi ya viongozi akiwemo m/kiti wa VICTORIA FOUNDATION Mh. Vicky Kamata, katika harusi ya mtoto wa dada yake Waziri mkuu Mizengo Pinda iliyofanyika hivi karibuni Dodoma.
VICTORIA FOUNDATION INAWAPONGEZA ISMAIL NA FARIDA NA INAWATAKIA KILA LA KHERI KATIKA MAISHA YAO YA NDOA NA MUNGU AKAWATANGULIE.
BAADHI YA PICHA ZIKIONYESHA MATUKIO MACHACHE YA HARUSI HIYO.
|
ISMAIL NA MKEWE FARIDA WAKIPEWA MIKONO YA HERI NA WAZAZI IKIWA PIA NI ISHARA YA KUWAPONGEZA KWA KUFUNGA NDOA NA KUUAGA UKAPELA |
|
FAMILIA YA MH. VICKY KAMATA |
|
NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KATIKA POZI WAKATI WA SHEREHE YA HARUSI YA ISMAIL |
|
WAGENI WAALIKWA WAKIGONGA "CHEEEERS" |
|
CHEEEEERS |