Katika ziara hiyo ambayo imehusisha baadhi ya wabunge wa kamati hiyo ya uchumi viwanda na biashara, uwekezaji na uwezeshaji akiwemo Mh, Mgimwa ambaye ni M/kiti wa kamati hiyo na wabunge wengine ni Mh, Magreth Mkanga, Mh. Vicky Kamata na Mh. Khatibu Haji. Ikiwa ni lengo la kuweza kufahamu mambo mbalimbali ya Kiuchumi, Viwanda na biashara, uwekezaji na uwezeshaji nchini Japan.
Katika ziara hiyo waliambatana na M/kiti mpya wa bodi ya wakurugenzi wa TBS, Kaimu mkurugenzi wa TBS, na baadhi ya wakaguzi kutoka TBS.
|
Kutoka kushoto ni Mh, Hatibu Haji[ Mb Cuf] Vicky Kamata na M/kiti mpya wa bodi ya wakurugenzi TBS. |
|
Mh. Vicky Kamata na Mh. Hatibu Haji [KUSHOTO] pamoja na Kaimu mkurugenzi wa TBS[mwenye shati jeupe] na kulia ni M/kiti mpya wa bodi ya wakurugenzi TBS. |
|
Hapa ni Hotel aliyofikia Mh. Vicky na wabunge wenzake, hotel inaitwa THE YAKOHAMA BAY HOTEL ipo Jiji la Yakohama. |
|
Hotel waliyofikia. The yakohama bay hotel |
|
Mdogo wa Mh Khatibu ambaye ni Mtanzania anayeishi Japan kwa biashara ya Magari,akiwa katika picha ya Mh, Vicky Kamata walipokutana katika ziara huko nchini Japan. |
|
Mh. Vicky Kamata akiwa na wenyeji wake akifuatilia jambo kwa makini. |
|
Mwenyeji wao kutoka kampuni ya Jaai aliwalitoa dinner katika hotel ya THE PRINCE HOTEL, |