Saturday 10 November 2012

PICHA ZA MATUKIO YA MAZISHI YA ASKOFU ALOYSIUS BALINA


Nyumba ya milele ya Askofu Aloysius Balina
                                                   Ibada ya kumuombea ikiendelea


 Mh. Vicky Kamata akiuaga mwili wa mpendwa wake baba wa kiroho marehemu Aloysius Balina




Mh Vicky Kamata(nyuma kulia) akiwa kwenye ibada ya kumuombea marehemu na wa mbele kushoto ni mama Maria Nyerere mke wa mwasisi wa taifa letu Julius Nyerere akiwa kwenye ibada hiyo.
Mama wa marehemu 


Thursday 8 November 2012

BINTI WA MIAKA 16 AKATWA SIKIO NA BABA YAKE BAADA YA KUKATAA KUOLEWA



‘’Huyo rafiki yake na baba, akamwabia baba yangu kwamba, ana kijana wake anataka kuoa. Baba akamwambia(rafiki yake), kwamba ampatie mahari kwani nyumbani kwake ana binti na ndiyo mimi. Hilo walikubaliana huko klabuni,’’alisema Sikitiko.
 Geita – SERA ya  mtoto ya mwaka 1996 inasema kuwa mtoto ana haki ya kulindwa na kuendelezwa kielimu ili akue vyema kiakili, kimwili, koroho na kimaadili ili awe raia mwema anayewajibika kwake mwenyewe na taifa kwa jumla.
Hata hivyo hali hiyo ni tofauti kwa baadhi ya wazazi na walezi walio na jukumu la kutimiza hayo ambao huwageuza watoto kuwa ni miradi kwa kuwafanyisha kazi ngumu na biashara ndogo ndogo huku wengine wakikatisha masomo ya watoto hao na kuwaozesha.

Tuesday 6 November 2012

REST IN ETERNAL PEACE BISHOP ALOYSIUS BALINA

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga, Mhashamu Aloysius Balina  amefariki dunia leo saa tano asubuhi akiwa katika hospitali ya rufaa ya Bugando jijini Mwanza alipokuwa akitibiwa

 WASIFU WA ASKOFU ALOYSIUS BALINA

CATHOLIC DIOCESE OF SHINYANGA
EPISCOPAL SILVER JUBILEE OF HIS LORDSHIP BISHOP ALOYSIUS BALINA, DD.

HIS HISTORY

Rt. Rev. Aloysius Balina, was born at Isoso, Ntuzu, Bariadi District on June 21st 1945.  ordained priest on 27th June, 1971.  consecrated Bishop on 6th January 1985, by Pope John Paul II in Rome.  Installed as the first Bishop of Geita on 10th March, 1985.  transferred on 23rd September 1997.  installed as the Third Bishop of Shinyanga on 16th November, 1997.

WORKING EXPERIENCE

·        Diocesan priest –  Buhangija, Shinyanga town, Salawe, Bugisi, Chamgasa and Malili 1971-1975
·        Rector St. Pius Seminary Makoko 1975 – 1983
·        Parish Priest, Shinyanga town 1983-1984
·        Bishop of Geita 1984 – 1997
·        Administrator of Geita 1997 – 2000
·        Bishop of Shinyanga 1997 to date
·        Founder and the first Chairman(CSSC)
·        Chairman of TEC Health Department 1985 to date
·        Chairman of Bugando Medical Centre 1985 to date
·        Chairman of Bugando College of Health Science 2000 to date
·        Commissioner for TACAIDS 2002 – 2004
·        Chairman of Consultancy and Development Limited(CDCO) a firm under CSSC 2005 to date

OTHER SHORT COURSES

·        Global HIV/AIDS Programme for Faith based organization and National HIV/AIDS Counselling Organised by World Bank – USA
·        Balm in the Gilead science for HIV/AIDS five weeks training on the science of HIV/AIDS – USA
·        International HIV/AIDS Conference – Bangkok – Thailand
·        Network marketing business training – Kualar LumpurMalaysia


Monday 5 November 2012

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA 'CANTON FAIR EXHIBITION' NCHINI CHINA


(Canton Fair Complex for short), the largest modernized exhibition center in Asia, is located in Pazhou Island, Guangzhou, China. It is a perfect integratation of human and ecological concerns and high technology and intelligentization, sparkling the world like a shining star.
The complex covers a total construction area of 1,100,000 M2 with the indoor exhibition area of 338,000 M2 and the outdoor exhibition area of 43,600 M2. The Area A has an indoor exhibition area of 130,000 M2 and an outdoor exhibition area of 30,000 M2, the Area B has an indoor exhibition area of 128,000 M2 and an outdoor exhibition area of 13,600 M2, and the Area C has an indoor exhibition area of 80,000 M2.







GEITA DOCUMENTARY

Contributors