Saturday 13 October 2012

VURUGU ZA WAISLAMU MBAGALA KATIKA PICHA.!!


Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wakiandamana kupinga kitendo cha kijana Emmanuel Josephat anayedaiwa kunajisi Quran.
Waandamanaji hao waliamua kufunga barabara kwa kuwasha matairi ya magari moto


Askari wa kutuliza ghasia wakiwa na baadhi ya watuhumiwa katika maandamano hayo

Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia(FFU) wakiwa kazini kudhibiti vurugu hizo

Friday 12 October 2012

AFTER A SUCCESSFUL MEETING...


VICTORIA FOUNDATION TEAM WITH PM AFTER DISCUSSION AND EXCELLENT ADVICES OF HOW TO GET FORWARD ON ATTAINING THE OBJECTIVES OF THE FOUNDATION.



Mheshimiwa Vicky Kamata akiwa China akijaribu kwenda sawa na utamaduni wa Kichina wa Kula kwa Vijiti.

Thursday 11 October 2012

JOKATE AZINDUA 'KIDOTI'

 
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kidoti Jokate Mwegelo akizungumza wakati alipozindua rasmi kampuni hiyo inayojishughulisha na Uuzaji wa Nywele za Style mbalimbali Ubunifu wa mavazi ambapo ameongeza kuwa nywele hizo zimejaribiwa na kukidhi matakwa ya kudumu, kuweza kutumiwa tena na tena, uzito pamoja na msokotano na zitakuwa zikipatikana katika mitindo na urefu mbalimbali zitazotumiwa na wasichana na kinamama.
Ameongeza kuwa Nywele hizo pia zitawafikia watu wa mikoani pia.
 
Afisa Mkuu Mtendaji wa Kidoti Jokate Mwegelo akitambulisha timu ya watu anaofanya nao kazi katika Kampuni yake kwa waandishi wa habari na wageni waalikwa.
Pichani Juu na Chini ni Models wakionyesha aina tofauti za Nywele za Kidoti zinazotengenezwa na Darling Tanzania.
Selita Style.
Hii ni aina ya Nywele inayoitwa Jokate,
Aina ya Nayomi.
Models katika picha ya pamoja mbele ya wageni waalikwa.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Kidoti Peter Kasiga akielezea ubora wa Nywele hizo na bei zake kwa wageni waalikwa na wandishi wa habari waliohudhuria uzinduzi huo leo jijini Dar es Salaam.
 
 
picha na habri kwa hisani ya //lukemusicfactory.blogspot.com 

KAMISHNA MKUU WA MAGEREZA AAPISHWA


Rais Jakaya Kikwete, akimpatia miongozo ya kazi Kamishna Mkuu mpya wa Magereza, John Minja, baada ya kumwapisha Ikulu jijini Dar es Salaam jana.

Wednesday 10 October 2012

ATCL KUANZA TENA SAFARI IJUMAA HII



SHRIKA la Ndege la Air Tanzania (ATCL), limejipanga kurudisha safari zake kuanzia Ijumaa hii na kuahidi kujikita katika safari za ndani na kimataifa.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za makao makuu ya shirika hilo jijini Dar es Salaam jana, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Kapteni Milton Lazaro, alisema shirika lake limeanza kutekeleza mpango wa maendeleo utakaosaidia kuboresha utoaji huduma pamoja na upanuzi wa safari zake.

GEITA DOCUMENTARY

Contributors