Kutoka kushoto ni mfanyabiashara mkubwa kuotoka U.A.E-Dubai Mr. Niaz Wal Khan,Mwenyekiti wa Victoria Foundation Ms. Vicky Kamata,Mkurugenzi mtendaji wa Sayed Corporation Tz Mr.Sayed Masood,Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda,Mfanyabiashara toka Dubai Mr. Haji Badshah Wazir,Mr. Salami na Manager wa Sayed Corporation tawi la Uganda Mr. Abdallah wakiwa katika picha ya pamoja.
Mr.Haji Badshah Wazir akijadiliana jambo na Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda walipomtembelea huko Dodoma.
|
Mwenyekiti wa Victoria Foundation Mh. Vicky Kamata (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafadhili wa Victoria Foundation toka U.A.E-Dubai Mr. Haji Badshah Wazir na Mr. Niaz Wal Khan (Kushoto) |