Friday 4 May 2012

BIRTHDAY PARTY YA MH. SHYROSE BHANJI 2012

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi waliangua Vicheko pale wenzao wa CHADEMA walipoikwepa kuigusa nakuila Keki ya Birthday ya Mbunge mteule wa Bunge la Afrika Mashariki, Mh Shyrose Bhanji wakati wa hafla ya Hepi Besdei ya kuzaliwa kwake iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Nyumbani Lounge, Jijini Dar es Salaam.Wabunge hao wa CHADEMA ni Mh.Halima Mdee (Kawe) ambaye anaonekana picha ya juu akiikataa keki hiyo iliyotolewa na Wakurugenzi wa Nyumbani Longe, Gadna G Habash na Mkewe Lady Jay Dee, huku Mbunge wa Viti Maalum wa chana hicho,  Mh. Lucy Kiwelu picha ya chini nae akijificha asiitazame kwa karibu.Huku Wabunge wa CCM wakishangilia wakimtaka Mh Halima Mdee aongoze Ukataji wa Keki hiyo ambayo ilitolewa baada ya keki ya awali iliyoandaliwa na Baby Girl Shy Rose Mwwnyewe yenye rangi 'nyutro' kuliwa.Watu mbalimbali walihudhuria tafrija hiyo ndogo wakiwepo Wabunge wa vyama mbalimbali, wanasiasa, Wasanii wa muziki, Watangazaji na Wanahabari ambapo kila aliye simama kuongea alimpongeza sana Shy Rose kwa kuwa Mpambanaji wa Ukweli katika kutafuta kile anachotaka na kumuombea kwa Mungu amuongoze vyema katika kazi yake.Ukiondoa kisa hicho cha Keki, hafla hiyo fupi iliyofana sana, ilionesha jinsi waheshimiwa wabunge wetu walivyo na mshikamano katika jamii, na kudhihirisha ukomavu wa kisiasa kwa kushiriki katika shughuli ya mwenzao bila kujali itikadi zao kisiasa. Na cha kusisimua zaidi ni pale ilipowekwa wazi kwamba mameneja wa kampeni wa Mh Shyrose walikuwa Mh Esther Bulaya (CCM viti maalumu) akisaidiana na Dkt Hamisi Kigwangwala kwa upande wa chama tawala, na Mh Halima Mdee aliyekampenia katika kambi ya upinzani akisaidia na Mh Lucy Kiwelu.


























 Picha na Father Kidevu a.k.a Mroki Mroki, MICHUZI blog

Thursday 3 May 2012

Watu saba wafa ajali ya basi la NBS

WATU saba wamekufa papo hapo na wengine 54 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya NBS lenye namba za usajili T 978 ATM lililokuwa likitokea mkoani Tabora kuelekea mkoani Arusha kupinduka katika eneo la Jineri, nje kidogo ya mji wa Igunga.

Wednesday 2 May 2012

DKT. MAHANGA ASHINDA KESI


Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea


 



EWURA YASHUSHA BEI YA PETROLI, DIZELI


Mkurugenzi Mkuu wa EWURA Bw. Haruna Masebu akizungumza na vyombo vya habari nchini.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza kupungua kwa bei ya mafuta ya nishati jambo linaoonyesha kuwapo kwa unafuu.
Bei petroli imepungua kwa asilimia 2.16 na dizeli kwa asilimia 2.59 kuanzia leo.
Mkurugezi wa Ewura, Haruna Masebu alisema jana kuwa hii ni sawa na punguzo la Sh48 kwa petroli na Sh 54 kwa dizeli. Punguzo hilo limetokana na mabadiliko ya bidhaa hiyo katika soko la dunia.
Masebu alisema pamoja na kushuka bei katika soko la dunia pia gharama za usafirishaji na faida kwa kampuni inayoingiza mafuta nchini imepungua kwa wastani wa tani asilimia 51.71 kwa mafuta ya petroli na dizeli ni kwa silimia16.13 na kwamba nayo shilingi ya Tanzania imeimarika kwa asilimia 0.34 dhidi ya Dola ya Marekani.
“Bei ya jumla kwa petroli ni Sh 48.28 kwa lita ambayo ni sawa na asilimia 2.24 wakati dizeli ni Sh 54.39 kwa lita ni sawa na asilimia 2.69. Lakini kwa bei za rejareja petroli ni Sh 48 kwa lita sawa na asilimia 2.16 na dizeli ni Sh 54 kwa lita ni sawa na asilimia 2.59, lakini mafuta ya taa bei yake haijashuka wala kupanda,” alisema Masebu.
Masebu alisema kwa mujibu wa sheria ya mafuta ya mwaka 2008, bei ya mafuta ya petroli itaendelea kupangwa na soko hivyo Ewura itaendelea kuhamasisha ushindani kwa kutoa taarifa za bei kikomo ikiwa ni lengo la kuwasaidia wadau kufanya uamuzi stahiki kuhusu ununuaji wa mafuta.
“Kampuni za mafuta zipo huru kuuza mafuta ya petrol kwa bei ya ushindani ili mradi bei hizo ziwe chini ya bei kikomo kama ilivyokokotolewa na fomula mpya iliyopitishwa na Ewura na ambayo ilichapishwa kwenye gazeti la Serikali namba 454 la Desemba 23, 2011” alisema Masebu.
Alisema vituo vyote vya mafuta vinatakiwa kuchapisha bei za mafuta katika mabango yanayoonekana bayana na wateja.
“Ni kosa kuuza mafuta bila kuweka mabango ya bei inayooonekan vizuri kwa wateja na adhabu itatolewa kwa kituo husika”, alisema.
Alisema wanunuzi wote wanashauriwa kuhakikisha kuwa wanapata stakabadhi za malipo zinazoonyesha jina la kituo, tarehe aina ya mafuta yaliyonunuliwa na bei kwa lita.
Alisisitiza kwamba stakabadhi hizo zitatumika kama kidhibiti cha mnunuzi wa mafuta endapo kutajitokeza malalamiko ya ama kuuziwa mafuta kwa bei ya juu kuliko bei ya kikomo ama endapo utakuwa umeuziwa mafuta yenye kiwango cha ubora kisichofaa.

Kwa hisani ya Mo blog 

SHEREHE ZA MEI MOSI ZAFANA JIJINI TANGA


 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki kuimba wimbo wa wafanyakazi akiwa kashikana mikono na Rais wa Jumuiya ya Vyama vya wafanyakazi (TUCTA) Mh, Waziri wa Kazi na Ajira Mh Gaudence Kabaka (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mh Galawa katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga Mei 1, 2012
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga  Mei 1, 2012
 Wafanyakazi wa Ofisi za Bunge wakiigiza kikao cha bunge wakati gari lao lilipokuwa linapita mbele ya Rais Dkt Jakaya Kikwete katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga  Mei 1, 2012
 Wafanyakazi wakifuatilia maadhimisho hayo 
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni tatu kama zawadi kwa  Mfanyakazi bora wa Tanesco Bi Anetha Chengula  katika sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga  Mei 1, 2012

Sunday 29 April 2012

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA STUDY TOUR YA KAMATI YA NISHATI NA MADINI NCHINI NORWAY

MH KAMATA AKIPEANA MKONO NA PROJECT DIRECTOR WA PETRAD BI MONA WAHLEN
                MJINI STAVANGER NORWAY.
MH KAMATA AKIKABIDHIWA CHETI CHA MANAGEMENT OF PETROLEUM RESOURCES KINACHOTOLEWA NA INTERNATIONAL PROGRAMME FOR PETROLEUM MGT AND ADMINISTRATION NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA BI INGUNN KLEPVIK-NORWAY. 

                              
EXCELLENT MUSEUM OF NORWAY PETROLEUM INDUSTRY

HON SULEIMAN ZEDI (BUKENE) HAVING A WORD OF THANKING ROYAL NORWEGIAN EMBASSY IN TANZANIA, OIL FOR DEVELOPMENT (NORAD) and PETRAD- THE INTERNATIONAL PROGRAMME FOR PETROLEUM MANAGEMENT AND ADMINISTRATION ( THE FACILITATORS OF TANZANIA ENERGY COMMITTEE STUDY TOUR TO NORWAY)

AMBASSADOR INGUNN KLEPSVIK (TANZANIA FROM NORWAY) WINDING UP THE PROGAMME
FANTASTIC CHAIR

HON VICKY KAMATA HAVING A PRAYER IN A CHURCH BUILT 912 YRS AGO
(KLOSTER CHURCH-NORWAY)

MEMBER OF PARLIAMENT GETTING AN HISTORY OF KLOSTER CHURCH (NORWAY) BUILT 912 YEARS AGO
HON  VICKY KAMATA JUST LEARNING HOW TO PLAN FOR THE FUTURE WHILST LOOKING TO THE CHURCH BUILT 912 YEARS AGO AND STILL LOOKS FANTASTIC THAN SOME BUILDING OF JUST 5 YRS AGO
DEMOSTRATION AND EXPLANATION OF THE ENTIRE HISTORY OF UTSTEIN KLOSTER CHURCH.

GREAT, HON MAKAMBA HANDLING OVER SPECIAL PRESENT TO OYSTEIN KRISTIANSEN (PROJECT DIRECTOR (NPD) FROM THE SPEAKER HON ANNE MAKINDA 

WE NEED TO LEARN FROM THOSE WHO HAS BEEN SUCCESSFUL ( THIS IS A CHURCH BUILT IN 1100), THIS IS VERY SERIOUS, CAN WE PLAN FOR ANOTHER 1000 YRS TO COME, YES WE CAN.

DURING PRESENTATION, AS WELL AS DINNER TIME,( FROM RIGHT HON NASRI (KOROGWE), AMBASSODOR INGUNN KLEPSVIK OF NORWAY IN TANZANIA, HON VICKY KAMATA (GEITA REGION) AND PAMELLA PALANJO (PARLIAMENT MINERAL AND ENERGY COMMITEE CLERK)


VERY SERIOUS CONVERSATION FOR THE FUTURE DEVELOPMENT OF TZ BETWEEN HON MAKAMBA AND PROJECT DIRECTORS OF NORWEGIAN PETROLEUM DIRECTORATE.



COME ON GUYS CAN YOU BELIEVE THIS IS A BOAT ( JUST ENJOYING SAILING FROM STAVANGER TO UTSTEIN KLOSTER - NORWAY  ( HON JANUARY MAKAMBA and HON MAKALA).


MH ABAMA IN NORWAY WITH AFRICAN DRESS.

ONE DAY TZ WILL BE LIKE THIS.

THIS IS WONDERFUL
GOOD MEMORY ( NICE PHOTO OUTSIDE THE NORWEGIAN PARLIAMENT




 LISTENING PRESENTATION OF NORWAY'S PETROLEUM ACTIVITIES
PRESENTATION STILL GOING ON.

PRESENTATION DIAGRAMATICALLY (EXCELLENT EXPERIENCE)

DIAGRAMATICAL PRESENTATION STILL GOING ON WITH GOOD EXAMPLES

PRESENTER BEHIND MEMBERS OF PARLIAMENT INSTIGATING SOMETHING
HON VICKY KAMATA WITH MONA WAHLEN (PROJECT DIRECTOR -PETRAD (Left), THOMAS EID ( SENIOR ADVISER- NORAD (Right) and AISHA (PROJECT OFFICER OF THE PROGRAMME)

GEITA DOCUMENTARY

Contributors