Vijana ni kundi kubwa na lenye nguvu sana katika harakati mbalimbali za kiuchumi, kisiasa, kijamii nk. wakati wa kutimiza miaka 37 tangu kuzaliwa kwake vijana wengi hawakua nyuma, walikua mstari wa mbele kuhamasisha na kutoa
michango yao ya aina mbalimbali kwa kusudi la kimarisha CHAMA CHA
MAPINDUZI CCM.Moja kati ya vijana walio na wanaofanya mambo makubwa ni
kijana na mwana harakati James Mwakibinga ningependa nitoe pongezi kwake
na kijana wakuigwa na vijana wote wa Chama cha Mapinduzi CCM.