Monday, 14 September 2015

NI SHIIIDAH: ANGALIA PICHA ZA SHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA 103 YA BIBI YAKE MH. VICKY KAMATA PAMOJA NA KUMPONGEZA MTOTO WAKE REVOCATUS KWA KUFAULU VIZURI FEDHA BOYS NA KUCHAGULIWA KUSOMA CHUO NCHI ZA NJE


Na Steven Mruma [Sinza Dar es salam]
     Jana tar 13/09/2015 Bibi wa Mh. Vicky Kamata aitwaye Selina Magumi (Mrs Steven) alitimiza miaka 103..si kazi ndogo na rahisi lakini yote ni kwa neema za Mungu..
    Sambamba na hilo katika sherehe hiyo pia Mh. Vicky alitumia fursa hiyo kumpongeza mwanaye Revocatus kwa kufaulu vizuri masomo yake na kufanikiwa kuchaguliwa kujiunga na chuo nchi za nje ambapo atajiunga mwishoni mwa mwezi huu..
    Katika sherehe hivyo iliyohudhuliwa na wageni maalum wakiwemo wasanii na wanasiasa Mh.Vicky alitumia nafasi hiyo kumuelezea bibi yake huyo kama mlezi ambaye amefanya kazi kubwa kumfanya yeye kuwepo alipo sasa kwani alimlea tangu Mh. Vicky akiwa na mwaka mmoja huku bibi yake akiwa na zaidi ya miaka 70, tena akitegemea kazi za vibarua vya kulima nk ili kuweza kuapata mahitaji ya mjukuu wake huyo.
    
    

ZIFUTAZO NI BAADHI YA PICHA ZA MATUKIO YA SHERE HIYO.   


[MAANDALIZI YA SHEREHE]




[WAGENI MAALUM WALIPOANZA KUWASILI]



[VINYWAJI NA BITES VIKIENDELEA]




[WAGENI WAALIKWA WAKISUBIRIA BIBI KUTOLEWA NDANI KUJA ENEO LA SHEREHE


[BIBI AKINYANYUKA MWENYEWE KUKAA AKIONYESHA BADO ANAZO NGUVU]


[BIBI AKIWA NA VITUKUU ZAKE]
[BIBI AKIWA NA MJUU WAKE VICKY NA MSANII STARA THOMAS]

 [MH. VICKY AKIZUNGUMZIA HISTORIA YAKE NA BIBI YAKE]


[WAKATI WA KUMPA NASAHA REVOCATUS IKIZINGATIA KUWA ATAJIUNGA NA MASOMO NCHINI UINGEREZA MWISHONI MWA MWEZI HUU]







REVOCATUSAKITOA MANENO YA SHUKRANI KWA NASAHA NA KUAHIDI KUYAFANYIA KAZI NA BAADA YA HAPO ALIENDA KUKATA KEKI NA KUMLISHA BIBI YAKE(Mama mkubwa) NA YEYE KULISHWA.
KEKI



MAANDALIZI YA CHAKULAYAKIWATAYARI KWA AJILI YA WAGENI NA MUDA WA CHAKULA ULIWADIA.



 
[BAADA YA CHAKULA ILIKUA NI MUDA WA ZAWADI]




KEKI KUTOKA KUNDI LA WAZALENDO WA CCM WAKIONGOZWA NA MUNASA



 [BAADA YA ZAWADI ILIKUWA NI MUDA WA PICHA YA PAMOJA NA BIBI]


WAZALENDO WA CCM WAKIWA PAMOJA NA BIBI NA MUME WA SASA WA BIBI STEVEN MRUMA MWENYE SHATI JEUPE

  

 [BAADA YA MATUKIO YOTE HAYO ILIKUA NI MUDA WA KUNYWA PAMOJA NA PICHA KWA KILA ALIYEJISKIA KUFANYA HIVYO]




[MENGINEYO]







GEITA DOCUMENTARY

Contributors