Mh. Vicky Kamata ameapishwa rasmi na kuwa mbunge kwa kipindi cha pili kuwa mbunge wa viti maalum mkoa wa Geita..
Baada ya kula kiapo cha utii alipata fursaya kupiga picha na watu mbalimbali akiwemo Naibu spika Dr Tulia Ackson na baadhi ya ndugu jamaa na marafiki.