Saturday 21 July 2012

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI MJINI DUBAI

                                       Glory akiwa ni mwenye furaha ndani ya Dubai Mall





Mh. Vicky Kamata akiwa na Glory kabla ya kuingia ndani ya  'WILD WADI' WATER PARK

                                     Revo akiwa amepozi nje ya Wild Wadi Water park
Nilifurahi kukaribishwa ofisini kwa Mtanzania Mohammed Sharif ambaye ni mwenyeji wa Tanga(kushoto) aliye design Dubai Sports City,unaoonekana nyuma ya picha.Pia tulipata nafasi ya kutembelea site na kujionea majengo mazuri yaliyobuniwa na Mr Mohammed



           Hapa Mr. Mohammed Sharif akiwatambulisha baadhi ya maofisa wake anaofanya nao kazi
                               Mh. Vicky Kamata akiwa ofisini kwa Mr Mohammed Sharif
                           Baadhi ya majengo yaliyobuniwa na Mohammed Sharif mjini dubai
                               Hii ni Sehemu ya kupumzika na kufurahi ndani ya Golf Court
                                               Sehemu ya viwanja vya kuchezea Golf
                                Ebu angalia Uoto kama huu unawezaje kuota jangwani?

      Sehemu ya jikoni ya Villa zilizobuniwa na Mtanzania Mohammed Sharif kwa ajili ya kuuza

                                         Moja ya vyumba vya kulala katika Villa hiyo

                                            Glory nae akiwa kwenye chumba chake

                                  Huu ndio muonekano wa sehemu ya nje ya Villa hizo

PICHA ZA MATUKIO YA KAMATI YA NISHATI NA MADINI KATIKA INTERNATIONAL CAPACITY BUILDING WORKSHOP-THAILAND

                              Mh Catherine Magige na Mh Chagula wakifuatilia kwa makini
                                Mh. Mfutakamba na Mama Chilolo wakifuatilia kwa makini
 Mkurugenzi wa REA, George Ntwali ambaye ndiye aliyekuwa Coordinator wa ziara hiyo akitoa mchango wake









Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wabunge wa Thailand walipotembelea Bunge la nchi hiyo






Thursday 19 July 2012

PICHA ZA MATUKIO YA UOKOAJI AJALI YA MELI ILIYOZAMA KISIWA CHA CHUMBE


http://4.bp.blogspot.com/-irN8uMiNtTI/UAeNwfj5PDI/AAAAAAABYE4/KxfLKVRr3e8/s640/ajali6.JPG

http://1.bp.blogspot.com/-QnvvkmoAObY/UAeNLkct7uI/AAAAAAABYEg/_sIUxhFXjLU/s640/ajali8.JPG
Majeruhi wakipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mnazi Mmoja


http://4.bp.blogspot.com/-JNMMkJzM55g/UAeM8x5Dt1I/AAAAAAABYEU/-P63yFe0J4w/s640/ajli10.JPG
http://2.bp.blogspot.com/-o3TC1v0k490/UAeNfrCaOCI/AAAAAAABYEs/MNL_uUkrG9c/s640/ajali7.JPG

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imesema, meli iliyozama jana katika kisiwa cha Chumbe, Zanzibar ilikuwa na abiria 248 wakiwemo watoto 31. 
Kwa mujibu wa Sumatra, meli hiyo, inamilikiwa na Kampuni Seagul Transport, imasajiliwa na Mamlaka ya Usafiri Baharini Zanzibar (ZMA) na kwamba, Cheti cha Ubora kimeanza tarehe 24 Agosti, 2011 na kinamalizika 23 Agosti, 2012. Imesema, meli hiyo ilikuwa imeruhusiwa kubeba abiria wanaoruhusiwa 300 na tani 26 za mizigo.
SUMATRA kupitia Kituo cha Utafutaji na Uokoaji (MRCC) ilipata taarifa kuwa meli ya MV Skagit iliyokuwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea Zanzibar ilikuwa inazama katika eneo la karibu na kisiwa cha Chumbe, Zanzibar, eneo ambalo lipo umbali wa Kilomita za Bahari 13.8 kutoka Bandari ya Zanzibar.
Zoezi la uokoaji linaendelea katika eneo la tukio kutoka kwa Mv Flying Horse, Mv Kilimanjaro III, Tug Bandari ya Zanzibar, KMKM, Mv Zanzibar I, Police Patrol Boat, Navy.
Taarifa hizi ni kwa mujibu wa vyanzo mbali mbali.
http://2.bp.blogspot.com/-RSuYUcQfSZs/UAcxasEQWEI/AAAAAAABjHU/bdc0PUxDE7g/s640/DSC08278.JPG
  Meli ya  Mv Skagit ikiwa imeshazama huko katika bahari ya Chumbe Zanzibar na ikiwa na abiria 250 juu ni baadhi ya waokoaji wakiwa tayari kutoka huduma ya kwanza
http://1.bp.blogspot.com/-kbEwOvDzoVc/UAb97MT17GI/AAAAAAAARXw/qDlAfr105kI/s640/DSC01488.JPG
Mwokoaji akiwa na mmoja wa maiti wa ajali hiyo
http://1.bp.blogspot.com/-kQwJd-y1T5w/UAb-Q9Uhx6I/AAAAAAAARX4/X3fwSWu9nyc/s640/DSC01486.JPG
 Waokoaji wakiokoa moja ya maiti. wakiwa katika boti ya Kilimanjaro. 
http://3.bp.blogspot.com/-Wp3PazW7fck/UAb_1t8woJI/AAAAAAAARYM/b-IPhUYGisQ/s640/DSC01485.JPG
  Majeruhi wakiwa katika mgongo wa boti hiyo wakisubiri kuokolewa.
http://4.bp.blogspot.com/-DliQDvXBvIQ/UAcAgbZ63fI/AAAAAAAARYc/pWJSovlWR7I/s640/DSC08280.JPG
 Baadhi ya Abiria wakiwa katika moja ya chombo cha kuokolea wakielea baharini kusubiri kuokolewa.

 http://3.bp.blogspot.com/-9BlP6hhiqck/UAcAjwdOvfI/AAAAAAAARYk/y4STpOLRQYA/s640/DSCF8040.JPG


 Boti ya KMKM ikiwa katika zoezi la kuokoa majeruhi.
PICHA KWA HISANI YA MJENGWA BLOG .

GEITA DOCUMENTARY

Contributors