Thursday, 26 December 2013

PICHA UFUNGUZI WA LENNY HOTEL GEITA: HOTEL MPYA NA YA KISASA KABISA KANDA YA ZIWA.

Steven Mruma [Geita] 

   Ukifika Geita  bila shaka utakuwa umefika sehemu muafaka kabisa iwe ni kibiashara kikazi nk. Lenny Hotel ni hotel mpya na kisasa kabisa kwa kanda ya ziwa ikiwa na huduma nyingi na za kisasa. mawasiliano: - P. O. Box 105 Geita na Simu.+255765810684 na +255655319566.     

  


Huduma zinazopatikana Lenny Hotel

Mandhari ya Hotel Kwa nje
Mmiliki wa Hotel hiyo Leonard Bugomola akittambulisha wageni waliofika katika ibada ya kumshukuru Mungu na ufunguzi wa Hotel Hiyo Mpya

Baadhi ya Ndugu jamaa na marafiki wa Leonard Bugomola wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa hotel hiyo

Mh. Vicky Kamata akipunga mikono baada ya kutambulishwa,
Ndugu na Marafiki wa BugomolaUfunguzi
mandhari ya vyooni
Sehemu ya malazi katika hotel hiyo
Muonekano kwa nje

Mojawapo ya kaunta za kisasa kabisa
Wanakwaya wakitumbuiza siku ya ufunguzi

Sehemu ya nje na parking ya magari


Karibu Lenny hotel Geita

No comments:

Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

HABARI NYINGINE ZAIDI