Saturday, 12 May 2012

VIDEO YA WIMBO WA FITINA YAKAMILIKA.

  Vicky Kamata akiwa tayari kwa ajili ya kuanza kurekodi video hiyo
Hali ya hewa ilikuwa ya mvua sana lakini haikunifanya kuacha kuendelea na harakati za kushoot video



                  Directors Kalaban na Lamar wakipeana maelekezo
    Camera men Nkwabi na Deo wakiweka sawa Camera zao kwa ajili ya kuanza kurekodi

                Baadhi ya scenes katika video hiyo ya FITINA

                                            Location

    Nikiwa najiandaa kwa ajili ya kurekodi scene ya mwisho,mvua ilikuwa ikinyesha muda huo

1 comment:

elisa said...
This comment has been removed by a blog administrator.

GEITA DOCUMENTARY

Contributors