Hali ya hewa ilikuwa ya mvua sana lakini haikunifanya kuacha kuendelea na harakati za kushoot video
Directors Kalaban na Lamar wakipeana maelekezo
Camera men Nkwabi na Deo wakiweka sawa Camera zao kwa ajili ya kuanza kurekodi
Baadhi ya scenes katika video hiyo ya FITINA
Location
Nikiwa najiandaa kwa ajili ya kurekodi scene ya mwisho,mvua ilikuwa ikinyesha muda huo
1 comment:
Post a Comment