Thursday, 27 May 2010

Hivi hii biashara bado inaendelea???


Wafanyabiashara wa vyuma chakavu wakiendelea na biashara yao kama wanavyoonekana pichani huku wa wakiwa na lundo la nyaya ambazo haikujulikana mara moja walikozipata. Biashara imechangia uharibifu wa miundombinu mbalimbali kama kung’olewa kwa vyuma vya kingo za madaraja, mifuniko ya chemba za barabara na nyaya za umeme.

1 comment:

Anonymous said...

watanzania tubadilike tuache kuharibu miundo mbinu iliyowekwa kwa gharama kubwa kutokana na kodi zetu kwa ajili ya kutafuta pesa ya kununulia dagaa

Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

HABARI NYINGINE ZAIDI