Friday, 28 May 2010

ROSE JOHN atwaa taji Miss Dar Inter College


Mshindi wa Shindano la Miss Dar inter College lililofanyika jana katika ukumbi wa Billcanas, Rose John (katikati) wa Chuo cha Ustawi wa Jamii akiwa mwenye tabasamu baada ya kutangazwa mshindi katika mashindano ya Miss Miss Dar inter College yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Billicanas, Dar es Salaam jana. Kulia ni mshindi wa pili, Cassian Millinga wa Chuo cha Biashara Dar es Salaam (CBE) na Marrylidya Boniface wa Ustawi wa Jamii.

2 comments:

Anonymous said...

Braaavooooo Rose, its good kukamilisha sehemu ya ndoto zako kwa kutwaa taji la urembo kupitia mlango wa universities ila dada yangu ukiwa kama mrembo msomi ni wakati muafaka kubadili mtizamo kwa jamii yetu dhidi ya warembo kwa kuishi maisha yasiyo na kashfa ambazo ni za kweli coz at times ziko za kusingiziwa tunajua nawe unapaswa kujua kuwa umekuwa mtu maarufu sasa na hivyo maisha yako yatakuwa ni habari tofauti na ulivyokuwa zamani,na magazeti hasa ya UDAKU yamepata mtu wa kusaidia mauzo yao. Wewe ni msomi please WATCH YOUR STEPS.

Anonymous said...

If you are going for finest contents like myself, just pay a quick visit this
site all the time because it provides feature contents,
thanks

Feel free to surf to my web site; small bathroom renovation ideas
(homeimprovementdaily.com)

Inspirational Prayer of the Day

choose your favorite language

GEITA DOCUMENTARY

HABARI NYINGINE ZAIDI