Na
Steven Mruma [Butiama]
Tawi la Lukilini kata ya Kalangalala mkoani Geita walitembelea makumbusho ya Baba wa Taifa na walipokelewa na tawi la wana CCM Butiama alikotokea Baba wa Taifa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere.
Hii ilikua ni ziara maalum ya kujionea makumbusho ya Baba wa Taifa na kujifunza mambo mbalimbali na kubadilishana mawazo na wana CCM wa tawi la Butiama.
|
Wana CCM waLukilini walipotembelea makumbusho ya Baba wa Taifa na kupokelewa na wana CCM wa Butiama |
|
Haya ni makaburi ya wazazi wa Hayati Mwl J.k. Nyerere |
|
Histroia ya eneo hilo ikitolewa na wenyeji |
|
Sehemu aliyopendelea kukaa baba wa Taifa |
|
Hichi ni kiti alichokua akipenda kukikalia baba wa Taifa |
|
Mh. Vicky akiwasha mishumaa juu ya kaburi la Hayati Bbaba wa Taifa |
|
Mh. Vicky Kamata akitambulishwa kwenye tawi la Wana CCM Butiama walipotembelea Makumbusho ya Baba wa Tiafa |
No comments:
Post a Comment