Na Steven Mruma [Dar es salaam]
Jana ilikua idd pili Victoria Foundation ilitumia muda huo kuwapongeza waislamu wote duniani kwa kusheherekea sikukuu hiyo kwa amani. lakini pia haikuishia hapo waliwasihi kuendeleza yale mazuri waliyojifunza katika kipindi chote cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Katika kumaliziamalizia sikukuu ya IDD kulifanyika part ya nguvu na Mwenyekiti wa victoria foundation akiwa na ndugu na marafiki zake walikula bata vya kutosha ya kusindikiza iddi pili.
Sehemu ya waislamu wakiswali sala ya Iddi |
Bata zikiendelea siku ya Idd pili |
Sifa kubwa siku ya sikukuu ni kula tu na hakika watu tulikula |
Huo ulikua ni mtoko maalum wa siku ya Iddi pili |
Bata zikiendelea na pia kuchat kuwatakia ndugu na jamaa na marafiki Idd Mubarak |
Ilikua ni Kula na kunywa kwenda mbele |
Bata zikiendelea |
Kupendeza siku muhimu kama ya sikukuu lilikua na jambo la muhimu na huo ndio ulikua mtoko wa dada yetu |
No comments:
Post a Comment