ASASI ya Woman and Children Group wilayani Kilombero imebaini ongezeko la watoto mitaani wanaoishi katika mazingira magumu wilayani humo ambalo limechochewa na matatizo mbalimbali ikiwemo uporaji wa mali za marehemu.
Akizungumza katika mafunzo ya siku 10 yaliyotolewa kwa wazazi, walezi, wajumbe wa kamati za shule na viongozi wa serikali kuanzia vitongoji hadi kata yaliyoandaliwa na asasi hiyo kwa ushirikiano na ‘Foundation for Civil Society’ katika kata ya Kibaoni na Mikelo wilayani humo.
Mratibu wa mradi huo Evenita Chamanga alitaja sababu mbalimbali zinazochangia kuwepo kwa watoto wa mitaani kuwa ni pamoja na uporaji wa mali za marehemu, ugumu wa maisha na elimu duni ya sheria ya mirathi.
Chamanga, alisema kuwa mbali na changamoto hizo pia mila potofu, umaskini na uzazi usio wa mpangilio ni miongoni mwa sababu zilizobainika kuongeza tatizo hilo kwa kasi kubwa.
Alisema hatua hiyo imesababisha watoto hao kujishughulisha na ajira mbaya za utotoni ikiwemo kukimbilia mijini na kufanya kazi za majumbani, ongezeko la utoro mashuleni na kutojua kusoma kuandika.
“Sheria imeng’ang’ania maelekezo ya dini, mila na desturi bila kujali ni nani anaumia zaidi hasa baada ya mmoja kufariki…hapa sheria ingefafanua kabisa kuwa mmoja anapofariki msimamizi au mmiliki atakuwa nani…sasa unakuta mila na desturi nyingine zinakataa mmoja kumiliki mali,” alisema.
Aidha waliiomba serikali kutoa mafunzo zaidi ya haki za watoto, wajane na ndugu wengine katika jamii ili kupunguza ongezeko la umaskini na makundi yasiyo rasimi mitaani kutokana na kuonekana kudhulumiwa haki zao.
1 comment:
Search results.Brazil footballfour means for apple cup visitors to acquaintance the best of brazil brazil lives, breathes and dies football that s why you re advancing for the 2014 fifa apple cup.Cowdenbeath f c - official siteall the most recent account on brazilian football, players, clubs and the nation aggregation ascertain neymar, the newest brazilian brilliant participate in the forums, adumbrate the.Livescore : brazil soccer alive scoreslivescore - brazil alive soccer scores, the aboriginal alive account armpit on the internet, powered by livescore back 1998 alive soccer from all about the world.Brazil most recent accessories & after-effects sky sports footballlivescore - brazil alive soccer scores, the aboriginal alive account armpit on the internet, powered by livescore back 1998 alive soccer from all about the world.
[url=http://www.calisia.net/baratas/camisetasfutbolbaratas.htm]camisetas futbol baratas[/url]Brazil football tickets - alive football ticketssearch results.Espn - soccer - brazil standings and scoresbrazil news, features, galleries and videos from apple soccer.World cup 2014 brazil soccer - android apps on google playsocatots is the aboriginal soccer-specific concrete comedy abstraction for pre-school accouchement and is advised to advance a adolescent s concrete abilities of agility, antithesis and co.Brazil jersey - brazil soccer jerseys, home, away, brazilbrasilia, brazil (ap) -- badge in rural brazil accept bedfast one man and were gluttonous two others in the annihilation of a soccer adjudicator who was killed.
Post a Comment