Thursday 21 April 2011

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga ngoma muda mfupi baada ya kuwasili katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski kuhudhuria kikao cha Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kilichomalizika jijini Dar es Salaam.Pembeni ya Rais ni wasanii wa kikundi cha ngoma kutoka Burundi(picha na Freddy Maro).

No comments:

GEITA DOCUMENTARY

Contributors